CCM YAVUNJA UKIMYA KUHUSU KATIBA MPYA,

Yasema kwa sasa sio kipaumbele chake.Yajielekeza katika kujenga nchi kwanza Na Mwandishi Maalum-Tanga. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakina  agenda ya katiba mpya kwa wakati huu badala yake kipaumbele zaidi kimewekwa katika kujenga  nchi kwa ukamilishaji wa miradi mikubwa ya kimkakati, kupambana na umasikini, kuboresha huduma za kijamii, kuboresha mazingira ya biashara, kuzidisha ustawi wa